MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA ANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE WENYE SIFA KUOMBA NAFASI ZA KAZI YA MKATABA KATIKA KITUO CHA REDI (RUBONDO FM)
kama ifuatavyo
MTANGAZAJI NAFASI 1
SIFA ZA MWOMBAJI
- awe na elimu ya kidato cha 4 au 6
- awe amehitimu mafunzo ya astashahada/stashahada katika mawasiliano au utumishi wa Umma
- awe na sauti yenye kuwavutia watu
- awe na uwezo wa kutumia kompyuta na mitandao mbali mbali ya kijamii kama vyanzo vya habari
- awe na uzoefu wa kazi hii usiopungua miaka miwili
- awe na umri usiozid miaka 45
2. MHARIRI (NEWS EDITOR - NAFASI 2)
SIFA ZA MWOMBAJI
- awe na elimu ya kidato cha 4 au 6
- awe amehitimu mafunzo ya shahada katika mawasliano au mahusiano ya Umma
- awe na uwezo wa kutumia kompyuta na mitandao mbali mbali ya kijamii kama vyanzo vya habari
- awe na uzoefu wa kazi hii usiopungua miaka miwili
- awe na umri usiozid miaka 45
MAJUKUMU YA KUFANYA
- kutayarisha na kuandaa habari zenye uhakika kila wakati
- kusimamia dawata la habari na watangazaji walio chini yake
- kugawana na kusimamaia kazi za waandishi mbali mbali walio chini yake
- kuksanya, kuandaa ma kuhariri habari mbli mbali zinazotokea na kuzisoma kwa ufasaha
3. MZALISHA VIPINDI (PROGRAMME PRODUCER - NAFASI 1)
SIFA ZA MWOMBAJI
- awe na elimu ya kidato cha 4 au 6
- awe amehitimu mafunzo ya shahada katika mawasliano au mahusiano ya Umma
- awe na uwezo wa kutumia kompyuta na programu mbali mbali za kutengeneza vipindi kama vile adobe, soundbooth na adobe audition
- awe na uzoefu wa kazi hii usiopungua miaka miwili
- awe na umri usiozid miaka 45
MAJUKUMU YA KUFANYA
- kutayarisha vipindi mbali mbali vya redio pamoja na matangazo mengine
MAMBO YA KUZINGATIA
- barua za maombi ziambatanishwe na nakala za vyeti vya elimu taaluma, cheti cha kuzaliwa na passport 2
- maombi yaambatanishwe na CV
- Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 40/12/2017 saa 9 alasili
- barua za maombi zitumwe kwa anuani ifuatayo
MKURUGENZI MTENDAJI,
HALMASHAURI YA WILAYA,
S.L.P 139,
GEITA
PIA TANGAZO HILI LINAPATIKANA KATIKA TOVUTI YA www.geitadc.go.tz
0 Comments
Tuachid maoni yako hapa