NAFASI ZA AJIRA KATIKA BLOG YA AJIRACONNECT (2 posts only)
Uongozi wa blog ya Ajiraconnect unapenda kuwatangazieni nyote NAFASI mbili za ajira KATIKA blog hii ambazo zimeorodheshwa hapa chini....
1: Mwandishi wa habari/matangazo (2 posts)
Tunapenda kutangaza nafasi mbili za ajira kwa waandishi na social networking professional
SIFA
1; uwe ni mtanzania
2: uwe na muda wa kufanya kazi
3; uwe na uzoefu wa kutumia mtandao wa blogger
4; uwe na atleast kiwango cha elimu Darasa la saba
5;uwe na account facebook, whatsapp na Twitter zenye magroup atleast 25
KIWANGO CHA MSHAHARA
Kiwango cha mshahara kwa mwezi kima cha chini ni Tsh 50,000/-
NAMNA YA KUTUMA MAOMBI
Maombi yote yatumwe kupitia email hii Ajiraconnect255@gmail.com
NOTE tunahitaji mtu ambaye atakuwa na uwezo wa kufikisha watazamaji/watembeleaji 50,000 kwa mwezi....

0 Comments
Tuachid maoni yako hapa