NAFASI YA KAZI CASHIER - HOSPITALI TEULE YA WILAYA YA KARATU, TUMA MAOMBI KABLA YA TAREHE 4 NOVEMBER 2017

NAFASI YA KAZI CASHIER - HOSPITALI TEULE YA WILAYA YA KARATU

Hospitali Teule ya wilaya ya Karatu inatangaza nafasi ya CASHIER mwenye sifa zifiatazo

SIFA ZINAZOTAKIWA
- awe ni raia wa Tanzania
- awe stashahada ya uzamili
- awe na uzoefu usiopungua miaka mi tatu
- awe na umri usiozidi miaka 35
- awe mwaminifu

maombi yatumwe kwa

AFISA UTUMISHI KARATU,
RUTHERAN HOSPITAL,
S.L.P 165
KARATU

Mamombi yatumwe kabla ya tarehe 04/11/2017 saa 6:30 mchana

kwa mawasiliano zaidi piga 0762180584

Post a Comment

0 Comments